Bukobawadau

MAKOSA WAYAFANYAYO WANAUME WALIOOA

1- Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mkewa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bilakujali atajisikiaje.

8-Kutosema chochote mkeakipendeza mpaka aulize.

9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyobila kulianika

10- Kutotandika bed mke asafiripona kugeuza bed kama kiota cha
ndege

11-Kutofua boxer na socks zake hadiwife awepo na kama kasafiri
zitasubiri arudi
Next Post Previous Post
Bukobawadau