Bukobawadau

TASWIRA UWANJA WA JK NYERERE MAPOKEZI YA HAJJAT JAMILAH KICHWABUTA ASUBUHI YA LEO


Uwanja wa JK nyerere ni mapokezi ya hajjat Jamilah kichwabuta pichani kulia,katikati ni Mwanae Aziz kichwabuta anayetumia fursa hii kuwakaribisha ndg na marafiki wa familia ktk dua ya kumpongeza ,itakayofanyika Siku ya jumamosi nyumbani Rwamishenye Bukoba,pichati kulia ni Mzee habib Omary Kichwabuta
Wanafamilia wakimpongeza hajath Jamilah Kichwabuta kwa safari yake ya hija.

Mzee Habib Omary Kichwabuta katika picha y pamoja na Hajath Jamilah


Hakika ni furaha kwa wanandugu hawa kama anavyo onekana Mdau Ali kichwabuta pichani kushoto.
Dua ya kumpongeza Hajjth Jamilah itafanyika siku ya jumamosi nyumbani kwake Rwamishenye Bukoba.
Ndg Aziz na familia nzima ya Marehemu Hussein Kichwabuta ,kupitia bukobawadau blog inawakaribisha sana ndg ,jamaa na marafiki wote wa familia katika kushiriki dua hiyo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau