Bukobawadau

BREAKING NEWS;Ufo Saro wa ITV apigwa Risasi

Rais Kikwete akiwa na Ufo Saro wa ITV
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mume mtarajiwa

wa Ufoo Saro Bw Mushi amempiga risasi mwandishi
wa habari wa ITV Ufoo Saro na kumjeruhi tumboni
huku akimuua mama mazazi wa Ufoo Saro na kisha
kujiua yeye mwenyewe kwa risasi huko maeneo ya
Kibamba.
Chanzo: Radio One
KWA HABARI ZA PAPO HAPO UNGANA NASI KWA  KULIKE UKURASA wetu mpya wa facebook hapa; https://www.facebook.com/Bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau