Bukobawadau

HILI NDILO GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA

Gari aina ya Brabus ambalo linamilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, limeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf Bakharesa alitoa oda maalumu kwaajili ya kutengenezwa chini ya Shilingi Bilioni 1.

Mmiliki ni mtoto wa Bakhresa anayefahamika kwa jina la 'Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa'

Pichani ni Dreva wa gari hili linalimilikiwa na mtoto wa Bakhresa
Next Post Previous Post
Bukobawadau