Bukobawadau

PICHA YETU YA LEO

Picha yetu ya leo wanaonekana wadau kutoka kushoto ni kijana Chonka, Medius kwa sasa yupo maeneo ya hamugembe Bukoba kimaisha, akifuatiwa na Mdau Dube maarufu kama Levis Kahabi na wa mwisho kulia ni Ras Frenk Masinde hii ni mwaka 1993 Mugeza shule ya Sekondari.
Muonekano wa sasa wa Mdau Dube(Levis Kahabi)
Muonekano wa sasa wa Mdau Ras Frank Masinde.

MUHIMU;Bukobawadau blog tunakuomba wewe msomaji wetu uweze ku like ukurasa wetu mpya wa facebook kupitia link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Next Post Previous Post
Bukobawadau