Bukobawadau

Rais Kikwete akutana na viongozi wa vyama vya Upinzani Ikulu jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini,waliofika ikulu jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh.Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu jijini Dar es Salaam.Nyuma kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi,Mh. James Mbatia na Professa Ibrahim Lipumba wa CUF
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mhe.Tundu Lissu CHADEMA Nyuma ni Mhe.James Mbatia NCCR Mageuzi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe. John Mnyika
Picha na Michuzi
Next Post Previous Post
Bukobawadau