Bukobawadau

TASWIRA KAMILI MATUKIO YA BUKOBA VETERANS JIJINI ARUSHA

Safari ya kuelekea jijini Arusha ikiendelea
 Picha ya kumbukumbu wana bukoba veterans wakiwa kileleni Sekenke.
 Mjini Arusha wakiwa kwa mwenyeji wao Mdau Samuel Lugemalila
Wakibadilishana mawazo ,kama anavyo onwkana Mdau Ruge pichani.
 Maelezo ya awali kabli ya mechi kuanza
Mechi ya kwanza ilikuwa Taswa na Manza na matokeo ni sare ya 0-0.


Gonga hapa ;https://www.facebook.com/Bukobawadau fanya ku like ukurasa wetu mpya wa facebook kwa habari za papo kwa papo.


Maisha yakiendelea nyumbani kwa mpambanaji Samwel Lugemalila , bukobawadau tunatoa shukrani kwake kwa ukarimu mkubwa aliojaliwa.
Mechi ya pili kati ya Moshi na Bukoba Veterans
 Salum Bonge mchezaji Bukoba Veterans.


Mechi ya Bukoba Veterans waliweza kufungwa 1-0 na Arusha, kilichofuatia ni story, soga na wapi tukale bata.
Michomo ikiendelea kama kawaida
Mazoezi katika kujiweka sawa
Ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid , uwanja mbovu ile mbaya kaitaba inasingiziwa
Mchezaji Sady Idd zamani RTC Kagera


 Bonge la location usawa wa ziwa victoria ni wadau wa bukoba veterans wakiwa eneo la Kagoma Muleba, wanzungu uwa wanapenda sana mambo haya
Hii ni wakati wa safari wa kurudi Bukoba, hapa utalii wa ndani unahusika
Credit kwenu wana bukoba veterans.
Next Post Previous Post
Bukobawadau