Bukobawadau

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE ALIPOTUA IRINGA KUHUDHURIA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE NA WIKI YA VIJANA


 Taswira mbalimbali za Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.  Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
PICHA NA IKULU
Next Post Previous Post
Bukobawadau