Bukobawadau

BUKABUYE,GERA, KANYIGO, NYUNGWE NA CAMERA YETU LEO NOV 20,2013

 Muonekano wa majengo ya chuo cha  Maendeleo ya Wananchi katika Wilaya za Misenyi (Gera FDC) kilichopo katika Jimbo la Nkenge Bango la Chuo cha maendeleo ya jamii kilichopo Gera.
Haya ni magofu mali ya Chuo cha Gera.
 Ndani ya Kijiji Cha Nyungwe.
Kikukwe shule ya Sekondari
Wadau wakielekea Mtoni kwa ajili ya kufua na kuchota maji


Bango la shule ya Msingi Kanyigo
Muonekano wa Madarasa ya Shule ya Msingi Kanyigo


Masikani kwa Mdau Rasuli(Kanyigo)


Jengo la ghorofa ambalo ujenzi wake bado unaendelea huko Kanyigo.
Mbishi mmoja akiendelea kufanya yake huko kijijini Kanyigo.
Muonekano wa Nyumba ya Marehemu Lugusha iliyopo kijijini Kanyigo

Huu ni msikiti uliopo Kigalama Mgunga Kanyigo
Msikiti huu umejengwa na Mdau Abdulrasuli, na hupo nyumbani kwake kwa matumizi ya kila muhumini mwenye imani sawa na yake.
Masikati kwa Mdau Abdulrasuli, nyumba mbili zikiwa zimezungushiwa uzio wa kisasa mpaka usawa wa Msikiti uliopo  kwake.
Camera yetu mlangoni!!!
Tukiwa bado masikani kwa mdau Abdulrasuli, ambaye amewapa fursa wananchi wa Kigalama Kanyigo kwa kuwajengea Chuo cha mafunzo ya dini ya Kiislamu
 Jengo la Zahanati ya Kikukwe iliyopo Kanyiko Wilayani Misenyi

Next Post Previous Post
Bukobawadau