Bukobawadau

BUKOBA YETU LEO 13 NOV,2013

Kisiwa cha Musila moja ya kivutio kikubwa katika Mkoa wa Kagera ...kisiwa hiki kipo makao makuu ya mkoa ndani ya mji wa Bukoba.


Ndani ya ziwa victoria mjini hapa.


Pitapita za hapa na pale anaonekana mwanafunzi akifurahia barafu yake.
Mdau Sadath Sadick akicheck na Camera yetu kitaani.
 Mazingira safi , hali ya hewa safi ni bukobawadau wadau blog na matukio kutoka Mjini bukoba na maeneo ya jirani.
Mitaa ya Miembeni halisi
Mitaa ya NHC Majengo mapya  hili ni pozi la mtoto Nizzar.
Mdau Lilian Peter Mwise akiwajibika.
Anaitwa ma Mkwala pichani akicheck na Camera ya bukobawadau blog.
Mwisho tunakutakia wewe msomaji wetu Siku njema na Salama.
Next Post Previous Post
Bukobawadau