CHECK PICHA YA CRISTINA ALIYEKUWA MPENZI WA MHUSIKA WA MAUAJI YA ILALA BOMA
Kushoto ni Majeruhi Cristina Alfred Newa ambaye ndiye alikuwa mpenzi wa Gabriel mhusika wa mauaji,wakati wa tukio Cristina alikuwa ndani ya gari pamoja na mama yake mzazi Helena Eliezer, mdogo wake Alfa (34) (ambaye ni marehemu sasa)pichani katikati na dereva Francis (pichani kulia )walikuwa wanatoka ndani ya geti la nyumba waliyokuwa wakiishi.