Bukobawadau

CAMERA YETU NDANI YA EVODY BOUTIQUE MAHALI SAHIHI PAKUJIPATIA MAVAZI YA KISASA

Camera yetu ikikuangazia ndani ya Evody Boutique,katika kuelekea msimu huu wa sikukuu utajipatia viatu vya kike,viatu vya kiume,mikoba ya kinamama,top za madoo,na mikato yote ya ma brother men.
Mdau unaambiwa kitu kubwa zaidi katika swala zima la kukupendeza wewe na mwenzio inategemea na wapi unanunua hivyo vifaa.
Mwonekano wa Nje hapo Evody Boutique kama anavyo onekana kijana Dogo J akiwa kajipanga, duka hili lipo nje ya Soko Kuu Mjini Bukoba, Mkabala na Ofisi za Finca zamani kwa Mistry.
EVODY BOUTIQUE WAUZAJI WANGUO AINA MBALIMBALINGUO ZA WATOTO ,NGUO ZA MADOO NA ZAWANAWAKE, PAMBA KALI ZA KIUME ,VIATU VYA WAKUBWA ,FULL SWAGA MIKOBA NA MIKATO MINGINEYO
Jipatie Mavazi ya heshima,mavazi ya kinizamu maarufu kama Nguo za kanisani kwa kuzingatia umri mbalimbali, hapa ndio mahala pake.
Ujanja ni kuchagua.
Kijana Evodius Mkurugenzi wa Evody Boutique anakwambia
Mama,Dada,Mjomba na Shangazi sehemu sahihi yenye ubora wa mavazi katika kuelekea msimu huu wa Sikukuu ni Evody Boutique.
Kijana Dogo J' anakwambia chaguo sahihi ni Evody Boutique, utapata mpangilio wa mavazi yako,viatu na na mazaga mengineyo na kuonekana nadhifu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau