Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MJINI BUKOBA LEO ALHAMIS NOV 28,2013

Oxygen Bar& Lounge iliyopo kati ya makutano ya barabara ya jamhuri na Kashozi, ndio habari ya mjini.
 Oxygen Bar& Lounge mkabala na Bank ya CRDB  tawi la Bukoba.


 E.L.C.T tea room ,kwa huduma safi ya Chakula wapo ndani ya jengo la Ujirani mwema
 Diplomat Saloon iliyopo jirani kabisa na duka la Mitesh au kwa Metal sehemu yenye historia yake na watu wake.


 Ndani ya Najim Auto Spare anaonekana Ndg Ruge na Mdau Rajesh Patel
Mdau Rajesh Patel pichani
 Maeneo ya 4 ways katikati ya viunga vya mji wa Bukoba
 Kijana Amiraly ambaye muuzaji na fundi maarufu wa Compyuta mjini Bukoba
 Ndani ya ofisi za Amilary Compyuta iliyopo  katika jengo la ofisi ya CCM kata Bilele,Wauzaji (jumla na rejareja) na wasambazaji wa Compyuta na vifaa vyake
Amiraly Compyuta BUKOBA Wauzaji wa Laptop, Computer Machine and All Computer Hardware.

Next Post Previous Post
Bukobawadau