Bukobawadau

MTOTO WA SHULE ABEBWA KWA NGUVU WILAYANI KARAGWE!!

 Mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya Chabalisa Bushangaro wiliaya ya karagwe aliyemaliza mtihani wa kidato cha pili juzi amebebwa kwa nguvu na vijana wa kijiji cha Akishaka na kupelekwa kusikojulikana. Wazazi wake wanaangaika kumtafuta wakisaidiana na mgambo mpaka sasa hivi imeshindikana tunaomba msaada kwa mtu yeyeto au vyombo vya usalama vinavyoweze kusaidia maana huyo mtoto bado ni mdogo na inasemekana  familia nzima ya kijana aliyehusika na tukio hilo wamejificha 
Mpaka tunaingia mtamboni bukobawadau blog hatujui  kisa ni nini na wana lengo gani?
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana Mzee Bahemula kwa No. 0683 426891.
Next Post Previous Post
Bukobawadau