Bukobawadau

TASWIRA HARUSI YA MDAU JUVENALIS MKULASI NA BI VIVIAN SILAYO

 Mdau Juvenalis Mkulasi wa kitendaguro Bukoba na Bi Vivian Silayo

Bi harusi wetu Bi Vivian  Silayo na Bwana harusi Bw Juvenaris Mkulasi.

 Baada ya ndoa takatifu iliyofungwa ndani ya Kanisa la St. Martha Mikocheni jijini Dar es salaam,shughuli iliendelea usiku katika ukumbi wa Beach Komva.
 Bi Vivian Silayo katika tabasamu tamu .
 Hivi ndvyo mambo yalivyokuwa ukumbini.
Bukobawadau Blog tunatoa hongera kwa maharusi hawa
Next Post Previous Post
Bukobawadau