Bukobawadau

BUKOBA YETU LEO DEC 30,2013

Katikati ya Mji wa Bukoba , libeneke la Bukobawadau Blog katika pita pita za hapa na pale kwa siku ya leo Jumatatu Dec 30, 2013,Muonekano wa Jengo la familia ya Omulangira Lutinwa.
Mtaa wa Haki, maarufu kama One Way.
 Kuelekea Bukoba Compyuta ,wauzaji na wataalamu wa kompyuta na suluhu za kiufundi
Maeneo ya kwa Mitesh, kilipo kituo cha mafuta cha Caltex.
 Katikati ya viunga vya Mji wa Bukoba.
Maeneo ya Stand kuu ya Mabasi mjini hapa.
Hekaheka kati ya makutano ya Jamhuri na Kashozi.
 Kumbukumbu ya Marehemu Luteni Jenerali Mayunga.
Mitaa ya Jangwani Uswahili Bilele.
Green Cafe leo Dec, 30,2013. muda mchache baada ya mvua kubwa iliyonyesha kukatika.
Mrs Chirstopher Chichi na mwanae wakicheck na Camera yetu .
Yupo pia Mr Chichi mwenyewe pichani kulia akifurahi na Ben Mulokozi
Mwenyetabasamu wa pili kulia ni Mzee Mtalemwa katika picha na wadau.
 Mdau Deo akishow love na Mr Bayona.
 Kushoto ni Mdau Deo katika pozi bora la kufunga mwaka tulilopata kukutana leo Dec 30,2013.
Vijana wa Kazi Shafi na mwenzie Ndg Bushira.
 Ben&Chichi.
Mama Chichi na familia yake, kama walivyokutwa na Camera yetu leo pande za Victorious Hotel-Bukoba. 
Viwanja vya Gymkhana yupo mdau Juve na Mdau Sadick Kaizilege.
Mac Juve & Rahim Kabyemela.
 Moja ya swagar iliyotugusa katika msimu huu wa sikukuu ni mikato mbalimbali waliyo ingia nayo wahaya, pichani anaonekana Kijana mdogo akiwa ananyonga VOGUE SPORT SUPER CHARGED YA MWAKA HUU 2013(American Vesion)
Wadau wakicheck na Camera yetu,katikati ni Mdau David maarufu kama DD,Kulia ni Ndg Ruger mitaa ya miembeni mchana wa leo Dec 30,2013
 Mapema usiku wa Leo Camera yetu ikiangaza kiwanja hiki cha Victorious Hotel-Bukoba.Inakutana na meza moja ya wadau pichani kutoka kushoto ni Ma Dhahabu na kulia ni Mdau Valelian.
 Anaonekana Mzee Kabone katika na Mdau Fabian Kalikawe pichani kulia.
Kutoka kushoto ni Mdau Robart, Mzee Gabon, Mr Fabian Kalikawe.
Mapema  usiku huu tukiangaza maeneo ya Linas, anaonekana Mwanadada Leah katika picha na Kaka Mkuu.
Mwanadada Happy Kasibanzi akicheck na Camera yetu, Kushoto ni Kaka Mkuu E. Nyambo mtu wa watu.
Tumusime Bocko na Mkurugenzi wa Linas Night Club.
Yupo pia Mdau Smart Bahitani na mwenzake pichani.
'Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya wa 2014 Bukobawadau Blog tunatumia fursa hii kutoa shukrani zetu kwako wewe msomaji kwa kutuchagua sisi kama Blog yako Bora asa pale unapotumia muda wako kwa kuperuzi kila siku'

Next Post Previous Post
Bukobawadau