Bukobawadau

MACHO YETU KAMACHUMU, SHANGWE ZA DECEMBER 2013 NDANI KAMACHUMU INN

 Kama kawaida ukifika sehemu lazima kuuliza wenyeji, hapa ni katika Mji mdogo wa Kamachumu,Camera inakutana  uso kwa uso na Mkurugenzi wa Hotel ya Kamachumu Inn aliyejitambulisha kwa jina moja la Mama Ngaiza.
 Bango kuingia linalokukaribisha ukiwa umefika hapo Kamachumu Inn.
 Sehemu ya maegesho.
 Kamachumu Inn ni sehemu ambayo watu wengi upenda kufika kwa ajili ya kupumzika na hii ni kutokana na ubora wa huduma inayo patikana hapo.
Sehemu ya wadau kutoka Mjini bukoba, waliokutana na Camera yetu ndani ya Kamachumu Inn, Kutoka kushoto ni Mdau Ibrahim ,Hussein Cyber, Amini Idrisa na Mdau Abbas Khalfan
 Mdau Abbas na Amirary wakiteta jambo.
 Taswira mbalimbali katika kiota hiki cha Kamachumu Inn
 Watu ufika mara kwa mara kwa ajili ya kupumzima na kufurahia siku na familia zao.
Wadau pichani ni Mashasi family, kama wanavyo onekana mbele ya Camera yetu.
 Changanyikeni ikiwa imeanza.
 Yupo Ndg Ruge pichani  akicheck na Camera yetu.
Mnyamwezi Sunday kama alivyokutwa na Camera yetu.
 Center ya Mji wa Kamachumu.
Anaonekana Ndg Yazid pichani akitafakari.
 Nyumba jirani kabisa na Kamachumu Inn.
MWISHO:'Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya wa 2014 Bukobawadau Blog tunatumia fursa hii kutoa shukrani zetu kwako wewe msomaji kwa kutuchagua sisi kama Blog yako Bora asa pale unapotumia muda wako kwa kuperuzi kila siku'
Next Post Previous Post
Bukobawadau