Bukobawadau

CHECK MATUKIO KATIKA MAPOKEZI NA MKUTANO WA ZITTO KABWE WILAYANI KASULU HII LEO DEC 22,2013

  Taswira mapokezi mazito ya Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto Kabwe mapema ya leo Dec 22,2013 yakiendelea kuelekea Viwanja Kiganamo mjini Kasulu.
Vijana na mabango yao mkononi.
Kama inavyo onekana katiika msafara huu wa pikipiki bendera za chama ni chache sana sawa na hakuna hii ni kwa sababu wakazi wa Kigoma wanaamini "ZITTO NI MBUNGE WA KITAIFA,MTETEZI WA WATANZANIA,ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE!!
 Mh Zitto Kabwe akisimikwa  Kuwa MWAMI na wazee wa kasulu hii leo Dec 22,2013
Mkutano ukiendelea .
 Mh. Zitto akiendelea kuwahutubia wananchi wilayani Kasulu.
 Umati mkubwa wa watu ukimsikiliza Zitto Kabwe.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika mapokezi na mkutano wa Mh. Zitto Wilayani Kasulu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau