Bukobawadau

USIKU WA BI ALISTIDIA KABANZA RUPIA MTOTO WA OMULANGIRA JUSTINE RWEZAURA WAFANA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB DEC 21,2013

Dec 21,2013  Camera yetu ikiangaza katika shughuli ya Pre-Wedding Party ya  mwanadada Alistidia Kabanza Rupia  mtoto wa kuzaliwakatika familia ya kichief ya Omulangira Justine Rwezara Rupia na Omumbeija Victoria Mukalukira Rupia wa kijijini Kihwa nje kidogo ya mji wa Bukoba.
Mamia ya waalikwa waliofika ndani ya Ukumbi wa Linas Club ikiwa ndio tunaelekea ukingoni  mwa mwaka, basi wameweza kushuhudia Send off ya kipekee kabisa,ya aina yeke ikiwa imepangiliwa vizuri,burudani safi,huduma nzuri na mambo ya kimila yenye kuvutia.
Kitendo kinachoendelea ni  Bi harusi mtalajiwa kuwasha mishumaa juu ya Keki
Ni shangwe na milipuko ya mafataki ukumbini
Bi Alistidia Kabanza akipeleka zawadi ya Keki iliyotengenezwa kimila kwa wazazi wake.
Wazazi wa Bi harusi mtalajiwa  Mr&Mrs Omulangira Justine Rwezaura na Omumbeija Victoria  Mukalukira,wakipokea  zawadi yao ya Keki.
Baada ya kutoa zawadi ya Keki kwa wazazi wake,zoezi limeendelea upande wa pili kwa wazazi wa Bwana harusi mtalajiwa kama inavyo onekana pichani
Meza ya wazazi wa Bwana harusi mtalajiwa
Hawa ni madada wa Bi harusi mtalajiwa wakiwa tayari kupokea zawadi yao ya Keki
Bi Alistidia Kabanza uso kwa uso na dada zake wapendwa,akiwa na zawadi Keki mfano wa Nyumba.
Camera yetu ikikuangazia kwa chat ,hii ndiyo meza ya Bwana Harusi mtalajiwa.
Hivi ndivyo walivyotokelezea Kaka wa Bi harusi mtalajiwa kwa usiku huu.
 Kwa unyenyekevu na nidhamu ya hali ya juu Bi Alistidia anapiga magoti kukabidhi zawadi yake
Kaka wa Bi harusi mtalajiwa akimpa mkono wa shukrani.
Akielekeza zawadi ya keki kwa mawifi zake.
Mmoja wa mawifi watalajiwa wa Bi Alistidia Kabanza Rupia mtoto wa Mlangira akipokea zawadi kwa tabasamu pana.


Camera yetu ikiangaza meza mbalimbali za wageni waalikwa katika shughuli hii.


Taswira yenye kupendeza ukumbini,meza mbalimbali  sehemu za waalikwa.
 Sehemu ya waalikwa katika shughuli hii.
Bi Jane wa Mtk pichani kulia.
Picha zaidi ya 200 za shughuli hii zitapatikana katika ukurasa wetu wa facebook kupitia link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=tn_tnmn
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
Ukumbini mambo yanaenda kama ilivyopangwa,waalikwa wanafurahi kwa pamoja.
Msanii Saida Karoli na kundi lake wapo kwa ajili ya kuburudisha.
Kundi zima la msanii Saida Karoli likiendelea kutumbiza ukumbini.
 Taswira ukumbini
Upande wa Bi harusi mtalajiwa.
 Wadau kama kawaida wakicheck kile kinacho endelea.
 Moja ya meza ya waalikwa katika shughuli hii ya send off ya mwanadada Alistidia Kabanza
Hakika sherehe ni nzuri ,watu ni wengi na ustaarabu hupo juu.
Muyu ndiye mshereheshaji wa shughuli hii .
 Neno la shukrani kutaka upnde wa Bwana harusi mtalajiwa
Huyu ndiye Bwana harusi mtalajiwa.
 Sehemu ya zawadi maalumu kwa Bi Alistidia Kabanza.
 Maswala ya vinywaji vikali hivi ndivyo kamati ya maandalizi ilivyo jidhatiti
 Yote tisa unaambiwa kumi ni vituko na  swagar za msanii Nshomile.
 Msanii Nshomile mkali wa rhymes za kihaya zenye kuelimisha ,kuburudisha na kutatanisha
ENDELEA KUWA NASI KWA PICHA ZAIDI ,VITUKO VYA MSANII NSHOMILE NA MAKAMZI YA SAIDA KAROLI


Next Post Previous Post
Bukobawadau