Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU LEO JUMAMOSI DEC 28,2013

Pichani anaonekano Kaka Mkuu E.Nyambo(kulia) akimkaribisha Mjini hapa Mlangira Focas Lutinwa.
 Wakati Mlangira Focas Lutinwa anachukua kiti kukaa, naye kaka mkuu anaendelea kusalimiana na wadau pichani.
Kaka Mkuu E.Nyambo akichukua kasi kuelekea  meza nyingine.


Tumusime Bocko alipokutana na Mdau Abdulmalik Tungaraza maarufu kama Dj Max.
Mdau na mwanae pichani wakishow love mbele ya Camera yetu.
Pande hizi za Bukoba Club mapema ya leo Dec 28,2013 camera yetu inakutana na meza ya wadau wakiwa na Mkurugenzi wa Linas Night Club.
 Wahungwana pichana katika mizunguko ya hapa na pale, hapa ni Bar Maarufu ya MTK  Miembeni.
Yupo pia Mdau Ruge Baruti pichani kulia.
MTK Bar miembeni  kwa Dada Jane pichani aliyesimama.
 Jukumu la kutoa utambulisho likitekelezwa na Ndg Basibila pichani aliyesimama, kulia ni Mdau Athony Tibaijuka maarufu kwa jina la TBC.
 Kila mdau akifurahia namna Protokal  katika kutoa utambulisho inavyo fuatwa.
 Ndg Basibila akifanya utambulisho kwa kila mmoja katika kijiwe hiki cha MTK kwa Jane Miembeni.
Paul Manyana na Thomas  wakifurahia protakali za utambulisho

 Tukiangaza vijiwe vingine majira ya saa moja usiku tunakutana na Mdau Jack akiendelea kufurahia siku na wenzake.
Mkurugenzi  Ben Expeditions
Adv. Buberwa meza moja moja na swahiba wake Ben Mulokozi.
 Sehemu ya wadau wakiendelea na maisha ya Weekend
 Mdau Fidels Kaiza
Wanadada wakicheck na Camera yetu.
 Via Bukobawadau Blog mtandao unaofanya kile  ilichokikusudia kwa muda na wakati stahili.
Baada ya hapa Camera yetu ikiendelea katika pitapita za hapa na pale, matukio zaidi ya kila siku utayapa iwapo utakua ume like facebook page yetu,kupitia link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Mbele ya Club Linas tayari inaonyesha kuwa kweli leo ni Jumamosi.
Hekaheka za bukobawadau mtaani kwa Jumamosi hii zikiendelea.
Maeneo haya na Linas nakutana na Omg Shamsu Bwikizo Makanda.
 The Walkgard Transit Hotel the Walkgard.
Transit hotel the Walkgard, zamani Walkgard Annex nakutana na mdau kutoka Mutukula


 Ndugu Mdau matukio zaidi ya kila siku utayapa iwapo utakua ume like facebook page yetu,ushirikiano wako kwetu ni kufanya hivyo sasa kupitia link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Next Post Previous Post
Bukobawadau