Bukobawadau

USIKU WA MONICA KOKUBANZA NDANI YA LINAS CLUB USIKU WA JANA

Bi harusi mtalajiwa ,Bi Monica Kokubanza Musabalala wa Kitobo Bulumbwe Wilayani  Misenyi
Salam na utambulisho kutoka kwa Baba Mzazi wa Bi harusi mtalajiwa.
Meza ya Baba wadogo wa Bi harusi mtalajiwa Bi Monica Kokubanza.
Bwana Harusi mtalajiwa pichani kulia.
 Burudani ya Ngoma kutoka Ruhunga.
 Ruhunga Group wakali katika uchezaji wa ngoza ya kihaya.
 Tumusime Bocko na Mzee Joel.
 Waalikwa wakifurahia burudani safi ya ngoma.
Sehemu ya waalikwa ukumbini.
Anaonekana mama Tumusime pichani.
Bi harusi mtalajiwa Bi Monica Kokubanza akipata huduma ya msosi.
Bi Monica Kokubanza
Moja ya meza ya waalikwa wakipata chakula.

INAENDELEA....
Next Post Previous Post
Bukobawadau