Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MAPEMA YA BOXING DAY DEC 26,2013

Camera yetu mtaani hivi punde inakutana na  Ndg Smart Bahitani (Cosad Tanzania)akiwa na familia yake katika viwanja vya Bukoba Club.
 Wadau pichani wao kimaisha wapo jijini Dar es Salaam,Kama kawaida ulejea nyumbani kwa ajili ya kusherekea sikukuu nyumbani.
 Mdau Rutta Lwabigene na Mdau Mac Juve.
 Ndg Focas Lutinwa akifurahia jambo na rafiki yake jioni ya leo viwanja vya Bukoba Club.
 AnaitwaThomas  kashai pichani akisema na Mdau Jack.
Mchana wa Leo Dec 26, 2013 Camera ikiwa viwanja hivi vya Bukoba Club imekutana na wadau wakiwa wamejumuika pamoja  kupata Chakula cha mchana.
Mdau Ben Mulokozi na Mdau Ben Kataruga.
Wakipata samaki fresh wa ziwa Victoria.
 Yupo pia Mdau Shafi pichani.
 Sehemu ya wadau wakiendeleza shangwe katika viwanja vya Bukoba Club.
 Shukrani kubwa kwako msomaji kwa kuendelea kutembea Bukobawadau,Tunayo tumaini kwamba siku yako ilienda vizuri kwa siku ya jana. 
Tunakutakia "Boxing Day" njema.


Next Post Previous Post
Bukobawadau