YALIYOJILI USIKU WA CHRISTMASS DEC 25,2013 MJINI HAPA
Ni usiku wa Christmass 2013 hivi ndivyo msanii Nshomile aka 'Mnyaluganda' alivyowapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Linas Night Club kama ilivyo ada.
Mdau Ben Kataruga pichani kulia ,akimtuza msanii Nshomile
Show kali kutoka kwa msani Nshomile ikiendelea kuwachengua mashabiki.
Mdau John pichani akiendelea kumtuza msanii Nshomile baada ya kukoshwa na uwezo wake.
Mratibu wa Onyesho hili ndugu Willy Kiroyera Rutta akitoa neno la shukrani kwa wadau waliomsupport.
Mdau Ben Kataruga katika hali ya usikivu
Wanaume kazini,ni Kikundi cha Ngoma kutoka Nchini Uganga kikidondosha bonge la show sijawahi kuona.
Kikundi cha ngoma za asili kutoka nchini Uganda kikitumbuiza kwa kutumia vyombo vya asili.
Wanenguaji wa kikundi cha ngoma za asili kutoka nchini Uganda.
Mc wa shangwe hizi Amani Kabuga akifanya yake.
Salaam kutoka kwa timu ya Wazalendo wasiofungamana na upande wowote zikitolewa na Ben Mlokozi aka 'Binuzi'.
Sehemu ya mashabiki ukumbini
Wakifurahi kile kinacho endelea.
Neno kutoka kwa Mkurugenzi wa Zachwa Investment Mr Mganyizi.
Manager masoko wa kampuni wa SBL ambao ndio wadhamini wa tamasha hili la ngoma za asili.
Mdau Adam , mtu wa kitambo sana pichani akiwajibika.
Msanii Nshomile akidatisha mashabiki wake.
Mnenguaji wa msanii Nshomile.
Pozi la wadau wakifuatilia show kulia ni mdau Rashid.
Muendelezo wa matukio ndani ya Linas Night Club.
Wadau wakidurahia show yupo pia Mkurugenzi wa Victoria Expeditions Ndg Samuel Lugemalila
kikundi cha ngoma za asili wakionesha mbwembwe
Jamaa wapo vizuri wameonyesha umahiri katika matumizi ya vyombo vya asili
Mwisho wa sehemu ya baadhi ya matukio yaliojili Ukumbini Linas Sehemu ya wazi.
Baada ya hapo maisha ya starehe yameendelea sehemu ya ndani Linas Night Club, kama ilivyo kawaida matukio ya ndani tuyaache yawe ya ndani,Pichani ni Mdau Yusuph na Mdau G. Bwogi.
Camera ya mwanalibeneke ilitia maguu katika moja ya kiwanja kinacho chukua kasi mjini hapa, namaanisha Oxygen Bar & Lounge, hakika mtiti wa pale si wakitoto mambo yalikuwa zaidi ya sana,angalizo ni kwamba utaratibu wa picha za ndani ni tunaziacha kapuni.Pichani ni sehemu ya nje kama inavyo onekana Vijana wa kileo wakicheck na Camera yetu.
Kabla ya kuingia ukumbini Camera yetu ilipita kukuangazia yanayojili Victorious Perch Hotel - Bukoba kama anavyo onekana mdau na familia yake.
Yupo pia mwanalibeneke Jamal(Jamco)Kalumuna na Mkewe Bi Jamila.
Meza ya wadau wakiendelea kufurahia Sikukuu.
Ben na Ben wakiteta jambo.
Mdau Jack(Arusha)kushoto, Mdau Siraji , kulia ni Ndg Thomas(Katikilo) Charles.
Anaonekana Mkurugenzi wa Arusha Travel Lodg na Victoria Expeditions Ndg Samuel Lugemalila akifurahi na Mzee Bayona.
Meza ya Joha Lugenge(Katikati) maarufu kama Rais wa kanda ya Ziwa.
Bi maua (daftari|)wa Ramadhani akishow love mbele ya Camera yetu, kulia ni Bi Vanessa.
Anaitwa Ben Mulokozi aka Mr appetizer(Binuzi)yeye na mabinti dam dam.
Bi Mgeni Idrisa
Taswira yaliyojili hapo Victorious Perch Hotel - Bukoba kwa usiku wa Christmass.
BUKOBAWADAU KWA HABARI MATUKIO YA KILA SIKU NA KUMBUKUMBU MBALIMBALI LENGO LETU NI KUWA KARIBU NA WEWE,USHIRIKIANO WAKO KWETU UTATANYA TUENDELEE KUWEPO.