Bukobawadau

MAFUNZO JUU YA MRADI WA KUIJENGEA JAMII UWEZO WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA KWA MIKOA ILIYOATHIRIKA ZAIDI NA UKAME YAFUNGWA


Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Magreth Sembuyegi akiwasilisha mada juu ya Ushirikishwaji wa Jamii katika Miradi ya Maendeleo, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro jana.

Mwenyekiti wa Kikundi  cha PAPA Bw. Daudi Mpombe (Kushoto) na Mwenyekiti wa Kikundi cha MWALA  Kata ya Vunta Bw.  Jonathan wakiandika masuala  yaliyokuwa yakiwasilishwa na Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Magreth Sembuyegi (hayupo pichani) jana  katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro.

Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi (mwenye Suti)  akiagana na  Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Harrison Chinyuka mara baada ya kufunga mafunzo ya Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Next Post Previous Post
Bukobawadau