TASWIRA MAZISHI YA MAREHEMU RAKESH YALIOFANYIKA JIONI YA LEO DEC 21,2013
Mwili wa marehemu Rakesh ikiwa ndio unafikisha makaburi.
Ibada ya mazishi ikiendelea.
Kiongozi wa kidini akiongoza shughuli hii ya mazishi ya marehemu Rakesh.
Umati wa watu uliofika kushiriki mazishi ya marehemu Rakesh.
Shughuli ya mazishi ikiendelea.
Bibi wa marehemu Rakesh akiweka udongo kaburini
Anaonekana Ndg Deo Deka akiweka udongo kaburini.
Ndg Mnar, kaka mkubwa wa marehemu akiweka udongo kaburini.
Sehemu kubwa ya marafiki wa marehemu wameweza kushiriki kikamilifu katika kumstiri marehemu Rakesh.
Mr Lee Mac Kanana rafiki mkubwa wa marehemu Rakesh.
Sehemu ya wafiwa wakiweka mashada ya maua kaburini.
Mama Nice, dada mkubwa wa marehemu akiweka shada la maua.
Dada wamarehemu Rakesh akiweka maua kaburini
Mama mzazi wa Marehemu akiweka rozali kwenye kaburi la mwanae.
Mzee Kilianga akiwekasha shada la maua kaburini
Huzuni mkubwa kwa mama mzazi na ndugu wa marehemu Rakesh.
Bibi Baby akishiriki kuweka shada la maua kaburini.
Ndugu Deo akiweka shada la maua.
Bukobawadau Blog tunaendelea kumuombea Marehemu Rakesh kwa Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema aipokee na kuilaza Roho yake Mahala Pema peponi.