Bukobawadau

TASWIRA MKUTANO WA DR.SLAA MJINI TABORA LEO DEC 16,2013

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Slaa akihutubia mkutano wa hadhara Tabora Mjini, jioni ya leo Dec 16,2013 baada ya kuwa ametokea Ugoweko na Kakola.
Dr Slaa akiendelea kuwahutubia wananchi waliojitokeza wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara mjini tabora leo 
Picha ya Dr Slaa Wilayani Uraambo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau