Bukobawadau

OFISI YA WAZIRI MKUU YAZINDUA MRADI WA KUIJENGEA JAMII UWEZO WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME –SHINYANGA, KISHAPU


Wajumbe kutoka  Wilayani Kishapu wa kiwa katika picha ya  pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kishapu  (wa tatu kuahoto ) mara baada kuzinduA rasmi  Mradiwa  Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Kiahapu, Shinyanga (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa - Ofisi ya Waziri Mkuu Luteni Jenerali (mstaafu) Sylvester Rioba akieleza umuhimu wa  Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo kwa Wilaya ya Kishapu, Shinyanga, leo  katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Kishapu.
Katibu wa kikundi cha UPENDO Bi.Maria Joseph akikagua makaburasha yake wakati  uzinduzi  wa Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo kwa Mkoa wa Shinyanga, Kishapu leo  katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Kishapu.

Next Post Previous Post
Bukobawadau