TUKIO LA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU HASSAN MUNJORI HANS MJINI HAPA
Mjane wa Marehemu Hans Hassan Munjori akipelekwa katika Msikiti wa Jamia ambao ni msikiti wa Ijumaa mjini hapa kwa ajili ya kushuhudia mwili wa mmewe
Hii ndiyo hali haliyokuwa nayo Mjane wa Marehemu Hassan Munjori katika kuaga na kushuhudia mwili wa mmewe, huku watoto wake wakitoa kelele kwa vilio, simanzi ni kubwa sana!
Uwanjani Kaitaba zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu Hassan Munjori (hans)
Umoja wa wana bukoba veteran ulijipanga vyema katika kuakikisha kila kitu kinaenda sawa kwa ushirikiano mkubwa na kampuni TCC ambayo marehemu alikuwa akifanya kazi.
Wadau wakitoa heshima za mwisho kumuaga Marehemu Hans.
Uncle Jimmy katika kuuaga mwili wa Marehemu Hans.
Ushiriki wa Kijana Theo Martin katika zoezi la kuaga.
Baada ya zoezi la kuaga mwili wa Marehemu ulipelekwa kwa msafara mkubwa hadi uwanja wa Ndege tayari kwa safari kuelekea Tanga ambapo mazishi yamefanyika kwa siku ya Jana nyumbani kwao Marehemu Hassan Munjori Kijijini Korogwe Tanga.
Kuelekea Uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Msafara wa magari ukitokea Uwanjani Kaitaba kuelekea Uwanja wa Ndege.
Msafara wa Magari ukiwasili uwanja wa Ndege mjini hapa.
Umati wa watu uliojitokeza kuusindikiza mwili wa Marehemu Hassan Munjori(Hans)
Mjomba Ismail kwa upande mwingine ni mkwe wa marehemu kwani mama mzazi wa Mjane anatokea huku bukoba ,pichani anaonekana na watoto wawili wa Marehemu Hassan Munjori,
Mjane wa Marehemu Hassan Hans Monjori katikati akielekea kupanda ndege
Bi Rehana Gullam pichani kulia katika ushirikiano na Mjane wa marehemu pichani katikati.
Mdau Sunday pichani rafiki wa Marehemu Hassan Munjori maarufu kwa jina la Hans.
Support ilikuwa kubwa sana kutoka kwa wadau mbalimbali wa Mjini Bukoba.
Kikubwa hapa ni juu ya utaratibu uko vipi?
Ndugu Mwinyi ambaye ni Katibu wa Bukoba Veteran , pia ndiye aliyechaguliwa kuwawakilisha wenzake katika shughuli ya mazishi yaliyofanyika jana huko Korogwe Tanga.
Mwili wa marehemu Hans ukiingizwa kwenye ndege.
Mwili wa Marehewa Hassan Munjori ukiwa tayari kwenye ndege kwa kuelekea Tanga.
Yupo Kabyemela Rahim Abdulrahim na Ndg Henry Optaty Katibu
PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILI ZINAPATIKANA KATIKA UKURASA WETU MPYA WA FACEBOOK UNAWEZA KUFUATILIA JINA BUKOBAWADAU ENTERTAINMENT MEDIA.
Bi Khadija Kabeha.
Nje ya uwanja wa ndege anaonekana Bi Mgeni Idrisa na Bi Devotha Geans.
Wanamama wa Bukoba Veteran pichani.
Mdau Hussein Kaitaba.
Mdau Sudi Kabone na Mdau Eugen Kabendera
Sehemu ya waombolezaji/ wasindikizaji nje ya uwanja wa Ndege
Pichani ni Mtoto wa Mwisho wa Marehemu Hans Hassan Munjori.

MPAKA HAPA HATUNA LA ZIADA BUKOBAWADAU BLOG TUNAOMBA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU HASSAN MONJURI MAHALI PEMA PEPONI AMEN!!
KWANI HATUKUTEGEMEA KABESA!!!