Bukobawadau

CAMERA YETU JIONI YA LEO JAN 22,2013

Camera yetu jioni ya leo Jan 22,2014 maeneo ya Victoriaus Perch Hotel Bukoba  inakutana na wadau pichani Ndg Ray na Ndg Philpo.
 Muda mwingi wadau walionekana wako bize na Tv kuliko Camera yetu.
Ilinichukua muda katika zoezi langu,mmoja akiwa  hivi,huyu anakuwa vile na mwingine huku!!
 Mara wakakubali kucheck na flash ndipo mwanalibeneke mikaamia meza nyingine.
Meza niliyokutana na wadau ikiwa imechangamka kwa maongeza ya Soka la Mkoa wetu.
 Ni mara chache sana kukutana na watu wenye mitazamo na mikakati endelevu kama jioni ya leo.
 Anaonekana Mdau Al Amin Abdul akitolea jambo ufafanuzi , huku Mr Cathbert Basibila na Mdau Ben Kataruga wakimzawadia usiku mkubwa.
 Al Amin Abdul akiendelea kubabadua katika yale anayo yaamini yeye.
 Mdau Hamim akionekana mwenye kiu ya kutoa hoja kufuatia maongezi yanayoendelea.
 Mdau Hamim  Mahmudu Omary ,Katibu mwenezi CCM Mkoa na mjumbe wa Kamati ya uchaguzi ya TFF ,akitolea jambo ufafanuzi.
Ben Kataruga na Ndg Yahya,ambaye ni mwenyekiti wa Vijana wa ccm mkoa wa Kagera.
didas katibu wa vijana ccm mkoa
 Maneno ya Hamim yanawagusa  wawili hawa pichani.
 Mdau Ben Kataruga akitumia diplomasia kuimarisha mshikamano na ushirikiano kwa wawili hao.
 Kikao cha meza hii kimewataka  Al Amin Abdul na Thomas Katikilo Charse kuwa kitu kimoja.
Mdau Ben Kataruga akimpa nafasi Ndg Thomas katika kuweka maneno sawasawa.
 Wadau katika ya pamoja baada ya kuwekana sawa , kuhusiano na michakato ya soka mkoa.
Kabla ya Suruhu ndg Thomas alikuwa na Mlengwa tofauti na meza hii.
Mwisho wa siku lao moja ,full kumwenya,sasa ni  ukurasa mpya wa mwendelezo wa mengine yanayofukuta huko mtaani kuhusiana na msitakari wa Soka Mkoani Kagera.

Next Post Previous Post
Bukobawadau