Bukobawadau

TASWIRA MAPOKEZI YA MH:MWIGULU NCHEMBA NA MH:ADAM MALIMA HII LEO WIZARA YA FEDHA .

Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm hii Leo.
 Mh:Malima ambaye ni Naibu waziri wa Fedha akipokea Zawadi ya Ua wakati wa alipofika Rasmi Ofisini hii leo kwaajili ya Kuanza Majukumu yake baada ya Kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri wa Fedha.
 Mapokezi Yanaendelea,Watumishi wa Wizara ya Fedha walijitokeza Kwa wingi sana kuwapokea Manaibu Waziri wapya wa Wizara hiyo.(Mh:Mwigulu Nchemba na Mh:Adam Malima) Pembeni(Kushoto) ni Mkurugenzi wizarani hapo aliyeongoza mapokezi hayo
 Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akilakiwa na Maofisa wa Wizara ya Fedha mapema hii leo Asubuhi wakati alipofika Ofisini hapo rasmi kuanza kazi.
 Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha wakati wa hafla ya Kuwapokea Mawaziri hao Wapya hii leo zoezi lililofanyika Wizara ya Fedha na Kukamilika Jioni ya Leo. 
Picha Zote na HABARI KWANZA BLOG
Next Post Previous Post
Bukobawadau