Bukobawadau

CHECK OUT VIDEO; HOTUBA YA MH.MBUNGE BALOZI KAGASHEKI UWANJA WA UHURU BUKOBA JAN 23,2014

Balozi Kagasheki  akisema na wananchi wa jimbo lake.
PATA KUSIKILIZA SEHEMU AUDIO HOTUBA KAMILI YA MH KAGASHEKI HAPA CHINI.
Bonyeza kitufe cha play kusikiliza sehemu ya 1 hotuba ya Mh.Balozi Khamis Kagasheki mjini hapa leo Jan 23,2014 SEHEMU ya 2'BALOZI ASEMA HUU NI WAKATI WAKE KUIRUDISHIA BUKOBA SIO KUICHUKULIA BUKOBA'