Bukobawadau

VING'AMUZI VYA STAR TIMES NDIO MPANGO MZIMA,FIKA ITEMBWE GENERAL SUPPLIES WASAMBAZAJI MKOANI KAGERA

Ving'amuzi vya Kampuni ya Star Times tayari vinapatika mjini hapa  kwa bei poa kabisa.
Star Times ni kampuni binafsi ya China inayoshughulikia mawasiliano ya habari kwenye mtandao wa televisheni ya digital, na kutokana na uendeshaji wenye umaalumu na ufanisi, kampuni hiyo imefanikiwa kuingia kwenye soko kote barani afrika na sasa ni fursa kwa wakazi wa Kagera.

Kwa ITEMBWE GENERAL SUPPLIES ambao ndio wasambazaji wa ving'amuzi vya Star Times
 Hivi sasa kampuni ya Star Times ina matawi katika nchi 16 za Afrika zikiwemo Kenya, Tanzania, Rwanda, Nigeria, Uganda, Burundi na Afrika ya Kati, na inaendesha rasmi biashara yake katika nchi tisa, na ina wateja milioni 2.5 waonapata matangazo ya televisheni ya digital barani Afrika.
Wakala Mkuu Mkoani Kagera  Bwana Hamza Itembwe pichani akiongea na bukobawadau blog amesema 'Ving'amuzi vya StarTimes vya kutosha na vingine vimeagizwa ili kukidhi mahitaji ya baadaye na vile vilivyopo sokoni vina ubora unaokubalika.'
 Muhidini G. Gumbizi  Meneja Masoko wa Kampuni ya ving'amuzi ya Startimes Kagera.Bwana
  Kulwa Boaz yeye ni Technician 
 Bukoba sasa mambo poa.
 Bi Aneth Dominick yeye ni CSR.
 Prudece Nzigu Technicia Startimes Bukoba.
 Timu nzima ya Wafanyakazi wa Kampuni ya ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wasambazaji wa Ving'amuzi vya Startimes Mkoani Kagera.
Ndugu wadau wasomaji kwa wale wanaohitaji king'amuzi cha starTime(decoder ya
StarTimes)zinapatikana kwa bei poa kabisa ndani ya ITEMBWE GENERAL SUPPLIES.
Biashara kuu ya kampuni hiI ni kuuza ving'amuzi vya digital vya Star Times na vifaa (terminal) vingine vya mkononi
 Mkurugenzi ITEMBWE GENERAL SUPPLIES waliopo Kashozi Road mkabala na kwa KUGIS jirani kabisa na karakana ya SIDO kwa mawasiliano zaidi piga simu 0787 007 666 /0754 760633
 Muonekano wa Barabara ya Kashozi eneo ya SIDO  Mjini hapa
 Lengo la kampuni ya Star Times ni kuifanya kila familia ya Afrika iweze kununua, kutazama, na kufurahia zaidi matangazo ya televisheni ya digital. Wakati huo huo.
Kampuni ya StarTimes inakubalika na inapanua hatua kwa hatua, na chapa/nembo yake inajulikana na kila familia na kwa kila mtu.
MAWAKALA WADOGO MJINI HAPA
  1. MR JUVE CHINGA- JAMHURI ROAD
  2. DUBAI ELECTRONIQUE-MR ZACHWA
  3. MASIKINI ALALI MCHANA-ARUSHA ROAD
  4. Y2K PHONES-HAMUGEMBE NA STEND
Kampuni ya StarTimes inakubalika na inapanua soko lake hatua kwa hatua, na chapa/nembo yake inajulikana na kila familia na kwa kila mtu!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau