CHECK USHIRIKI WA WADAU KATIKA HAFLA YA USIKU WA WINDHOEK NDANI YA THE WALKGARD TRANSIT HOTEL
Wadau mbalimbali wa Mji wa Bukoba wameweza kushiriki hafla ya Usiku wa Windhoek iliyofanyika usiku wa Jumatatu Jan 6,2014 Katika ukumbi wa Transit Hotel The Walkgard
Hafla hiyo imeandaliwa na Kampuni ya Mabibo Beer Wines & Spirits LTD ya Jijini Dar es Salaam.
Mdau Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines & Spirits LTD Ndg Jerome Rugemalira akiwakaribisha wadau walioshiriki hafla hii na kutoa ufafanuzi juu ya Bia ya Windhoek .
Taswira usiku wa Windhoek Lager Mjini hapa Jan 6,2014 kupitia Bukobawadau Blog.
Mrs Deo Lugaibula kushoto, Betty na Mr Deo Lugaibula
Sehemu ya wadau katika hafla hii.
Meneja wa Lake Hotel , Ndg Twaha Yunusu Mgogo maarufu kama 'Msoke' akitete jambo na Meneja wa Bukoba Club.
Mwanadada Theonestina, Katikati ni Bi Jack wa mwisho ni Bi Maua Daftari wa Ramadhani
Wadau wa Windhoek wakiendelea kufurahia siku. Mzee Matungwa Mkurugenzi The Walkgard Hotel
Hivi ndivyo usiku wa hafla ya Windhoek ulivyo pamba ndani ya Kiota cha The Walkgard Transit Hotel Bukoba.
Bi Jack na Bi Maua
Mdau Jerome akiwakaribisha Wageni Chakula cha usiku wa Windhoek.
Mama Janath Mussa akipata huduma ya Chakula
Pichani yupo Mama Edward maarufu kama(Mgole Shop) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Walkgard Hotel Mama AdventinaMatungwa
Mwanadada Lilian Peter Mwise akipata huduma ya chakula
Mwanadada Lilian Peter Mwise akipata huduma ya chakula
Waalikwa wakipata chakula.
Bi Eunice Luangisa na Bi Lily wakipata chakula.
Huduma ya chakula ikiendelea.
Dada Jane wa MTK Bar na Mama Sulum wa Kibengwe.
Mama K na Mdau Patrick
Sehemu ya wanahabari wakipata msosi.
Mdau Shamsu Bwikizo kushoto na Ndg Willy Rutta wa Kiroyera Tours
Kushoto ni Mdau Bushira na Ndugu Basibila kubwa kuliko ni mchanganyiko wa Climax na Windhoek.
Mdau Samora akipata msosi
Bi Benna na Bi Betty
Mwisho wa matukio wa kupata msosi
Baada ya Chakula Mmoja wa Wadau wa Windhoek kutoka kampuni ya Mabibo Beer alipata fursa ya kuwashkuru wadau wote waliojitokeza kushirikiana nao katika hafla hii.
Mdau Innocent
Wanandugu wakishow love mbele ya Camera yetu.
Mr Jerome katika picha na Mzee Matungwa wa The Walkgard Transit Hotel.
Eugen Kabendera Kushoto, Optaty Kajuna na Ndg Bushira
Hafla hii imeandaliwa na Kampuni ya Mabibo Beerwaalikwa katika hafla hii ya Usiku wa Wines & Spirit LTD.
Mkurugenzi wa The Walkgard Transt Hotel wa pili kulia katika picha ya pamoja na wadau wa Windhoek
Hafla hii imewashirikisha watu wa aina zote.
Endelea kuwa nasi ...!!
Mdau Jamal na Mdau Jerome
Mdau Jerome katika picha na Balozi wa Windhoek na Climax mjini hapa
Mdau Self Mkude pichani kushoto.
Yupo mzee Mandela na Bi Passy mwakilishi wa New Coffee Tree Hotel.
Eugen na Optaty wakifurahia jambo.
Kwa hizani kubwa ya Mabibo Beer wasambazaji wa Windhoek na Climax