Bukobawadau

KIJIJINI KISHANDA MULEBA NA CAMERA YETU LEO JAN 16,2014

Leo Camera yetu ipo ndani ya Kijiji Cha Kishanda, kilichopo ndani ya Jimbo la Muleba Kusini.
Ndani ya  kitongoji kidogo cha Kishanda eneo maarufu hapa kwa Mzee
Mpira,jilani kabisa na 'Kwa Ndululu'
Jengo la chama kikuu cha Ushirika 

Hili ni Soko la kila siku lililopo Kishanda.
Majengo ya Maduka pembezoni mwa barabara kuu iendayo vijiji jirani kama Kalele,Mulela na Nshamba.
 Kishanda ni moja ya kijiji chenye kituo cha mafuta.
Hapa wadau ni  Kishanda kuelekea  Nshamba, Ikondo, Biirabo hadi Muleba.
 Kuhusu Sekta ya makazi, wananchi wengi katika eneo hili wanaishi kwenye nyumba zenye ubora.
  Huduma ya kituo cha mafuta cha kilichopo kijiji hapo.
 Muonekano wa baadhi ya nyumba za Wakazi kijijini Kishanda.
Ujenzi wa nyumba nzuri na yenye ubora ukiendelea,shambani kabisa kijijini Kishanda.
Muonekano wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa .
 Mambo ya Old School ,kijijini Kishanda kwa ndani.
Taswira mbalimbali ndani ya kijiji Cha kishanda.
Sehemu ya kiwanja cha michozo.
Kuelekea Kanisa Katoliki la Rukindo ,kati ya Kishanda na Buganguzi.
 Bango la Shule ya Sekondari Rukindo.(BUKIDEA) 
Mwisho wa mpaka wa Kijiji cha Kishanda, ndio mwanzo wa Kijiji cha Buganguzi.


NOTE;KUPATA MATUKIO YA JANA AU YA MUDA MCHACHE ULIOPITA TUNAKUKUMBUSHA KUPITIA 'OLDER POST'KILA MWISHO WA UKURASA WETU, KUPATA UPDATE KUPITIA EMAIL YAKO JIUNGE NASI KWA KUWA FELLOW/MEMBER KWA KUJOIN NASI  PEMBENI KULIA MWA BLOG YETU.


Next Post Previous Post
Bukobawadau