Bukobawadau

SHUGHULI YA NDOA YA MAHARUSI BWA.BADRU SAIDI (MANGI) SAIDI NA BI SHARIFA ATHMAN

Ndani ya Msikiti wa Bilele, uliopo kati ya mtaa wa Felix Rwamugira na Uhuru ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba,kinachoshuhudiwa sasa ni shughuli ya ndoa ya Bwana Badru Saidipichani katikati na Bi Sharifa Athman.
 Shughuli ya ndoa ikiongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta.

Sheikh Haruna Kichwabuta akidhibitisha mambo.
 Bi Sharifa akiweka maneno sawa.
 Kitendo bila kuchelewa, wahusika wanapata picha na Sheikh Haruna Kichwabuta.
Moja ya picha ya kumbukumbu pia
Mwanzo wa msafara kuelekea , mitaa ya Hamugembe katika ukumbi wa Baraka Juhudi, tayari kwa Maulid.
 Kuingia ukumbini.
 Ustaadh Rajabu (Bob Raja)pichani kulia
 Taswira  nje ya Lango la ukumbi wa Baraka juhudi.
 Bi harusi akiingia ndani ya ukumbi wa Baraka Juhudi
 Sehemu ya viongozi mbalimbali wa Dini.
Waalikwa shingo na macho kule....!!
Wakati  Bwana Harusi Bwana Badru Saidi maarufu kama Mangi Saidi akielekea kwa Bi Harusi
  Miguu mizuri haswaa yenye kupambwa na Hina, masha allah Bi Sharifa  kapambwa akapambika... Hongera!
Muonekano fresh wa Bi Harusi.
 Ni ndelemo.
Naam
Kila mmoja alipenda namna Maharusi hawa walivyopendeza.
Sheikh Chabitala.
 Utaratibu wa ngama/msosi/mfinyo .
Kuhusu msosi kila mtu na bidii yake tu.
Kijana Halfa pichani kabla ya midadi kumpanda...
 Sehemu ya waalikwa wakipata raha kufuatia burudani inayoendelea.
 Burudani ya Dufu si mchezo
 Hivi ndivyo wanaume wanavyo wajibika
 Balaa ni pale kaka zake Bibi harusi walipo fanya yao na kuwafunika wahusika.
 Mkhusino na Halfa wakitoa bonge la burudani, hawa vijana ni shidaaa!!!
Mashuhuda ukumbini
 Taswira nyomi ukumbini.
Usiku maharusi wetu waliweza kushiriki na wenzao katika hafla fupi ya kuwapongeza, Pichani anaonekana Mwenyekiti wa hafla hii Ndg Yunus Kabyemela akitoa utaratibu.
Mambo yenyewe ndio kama hivi.
Moja ya harusi ya kistaarabu na yakimahadili tuliopata kushuhudia
Mwisho.Next Post Previous Post
Bukobawadau