Bukobawadau

TASWIRA SHUGHULI YA KITCHEN PARTY(MJUBURO) WA BI SHARIFA ATHMAN


 Si vyema kumsifia mtu /mke wa mtu ila panapo ukweli lazima tuseme mtoto wa kihaya hakika ameumbika!
 Hatua moja baada ya nyingine Bi Sharifa Athman akiingia ndani ya ukumbi wa Linas Night Club
 Bi harusi mtalajiwa hapa akikata utepe kuingia ukumbini.
Tukio muhimu la kumpongeza kwa zawadi Mama yake Mzazi.
Upande wa mashost muonekano ulikuwa hivi.
 Maswala ya kumbukumbuku ukumbini.
 Mmoja wa marafiki wa Bi Sharifa akichukua picha katika bango la Bi harusi mtalajiwa.
Fursa sasa ya kupata kitu menu.
Huduma ya msosi ikiendelea.
Kweli shughuli ni watu, na huu ndio mwanzo wa shuguli yenyewe
 Pikipiki ni moja ya zawadi kutoka kwa kamati nzima ya maandalizi ya shughuli hii.
Mtiririko huu unaendelea kwa matukio ya Ndoa, na sherehe fupi, endelea kuwa nasi.
Picha zaidi zinapatikana  katika ukurasa wetu wa facebook unachotakiwa kufanya ni wewe kutupia like tu! katika link hii hapa>> https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Next Post Previous Post
Bukobawadau