TASWIRA SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU ABDALLAH NZOMKUNDA YALIYOFANYIKA LEO KATIKA MAKABURI YA KISHENGE.
Mwili wa Marehemu Abda llah Nzomkunda aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana ukipelekwa makaburi leo Jan 31, 2014
Baada ya mwili wa Marehemu Abdallah Nzomkunda kusaliwa msikitini, sasa unapelekwa makaburini Kishenge.
Watu wa dini mbalimbali wakiusindikiza mwili wa Marehemu Abdallah Nzomkunda.
Mamia ya watu wakielekea kushiriki Mazishi
Jeneza lenye mwili wa marehemu Mzee Abdallah Nzomkunda.
Kijana Mahamudu Kitenge (CHECK MOOR)
Anaonekana kaka Mkuu pichani na Mdau Jumanne Bingwa.
Zoezi la kuingiza mwili kaburini.
Shughuli ya Mazishi ikiendelea.
Taswira wadau walio shiriki mazishi haya
Anaonekana Ndg Fadhili Ibrahimu, Ndg Majid Kichwabuta na Ndg Yahya Kajuna pichani
Bro. Mtensa na Mdau Deo Lugahibula wakibadilishana mitazamo.
Mdau Kabange na George Lyakurwa
Komungoma Hamidu na Badlu Kichwabuta
Mzee Nurak na Ndg Khalid.
Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha zake.
Picha 100 za shughuli hii zipo kwenye group la facebook, Bukobawadau Blog, na picha 80 zinapatikana kama kawaida kupitia ukurasa wetu wa facebook , hii yote ni kukupatia taswira kamili.
Ndg Said Bunduki na Erasmus George Kempe wa Misifa
Abdulnas Kangezi( Buda nasi) pichani
.Abdul (koma|) Galiatano akiteta jambo na mwenzake.
Neno la shukrani kutoka kwa Ndugu wa Marehemu Abdallah Nzomkunda
Pichani anaonekana Mdau Hamidu, Mzee Haji Hadamu na Ndg Jumanne Bingwa.
Dua ikiendelea kusomwa nyumbani kwa marehemu Abdallah
Sehemu ya waombolezaji msibani.
Mwanadada Brigette Sammy.
Baadhi ya wanawake msibani hapa.
Dua ikiendelea kusomwa nyumbani kwa marehemu Abdallah ... Watu waliojitokeza msibani huku wengine wakiwa wamekaa kwenye migombani, pichani anaonekana Mdau Harubu
ENDELEA KUWA NASI ... LOADING...