Bukobawadau

AKUTWA AMEJINYONGA PEMBEZONI MWA FUKWE ZA SPACE BEACH MOTEL BUKOBA FEB 7,2014

Kwa  wakazi wa Mji wa Bukoba, kupitia picha hii tu ,tayari kengere ya hatari imelia kichwani !!Hii ni mizigo ambayo utembea nayo siku zote Kijana aliyejinyonga hii leo ,maarufu kwa jina la Bahati wa Stand Kuu.
Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu
Hivi ndivyo mwili wa Marehemu Bahati ulivyokutwa ukiing'inia  juu ya Mti,kinacho endelea pichani ni juhudi za  kuutoa mwili huo.
Mwili wa Marehemu Bahati ukitolewa eneo la tukio.

Picha nyingine zinatisha zaidi
Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bahati, amekutwa amejinyonga juu ya mti  uliopo pembezoni mwa Ziwa Victoria, jirani kabisa na ilipo hotel Space  Beach Motel , tukio hilo limetokea mapema  wa leo Feb 7,2014,majira ya saa nane mchana.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kabla ya ajafanya kitendo pasipo maamuzi walimuona Marehemu Bahati akiwa na mizigo yake kama kawaida huku akiendelea kufua baadhi ya nguo alizokuwa nazo . 
Mpaka tunaenda hewani,Bado Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na halitasita kutoa taarifa kwa umma kukiwa na haja ya kufanya hivyo!!!
Tupo ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wasambazaji wa ving'amuzi vya Star Times Mjini Bukoba,Star Times wana lengo la kuifanya kila familia ya Afrika iweze kununua, kutazama, na kufurahia zaidi matangazo ya televisheni ya digital kwa muda na wakati sahii
Kampuni ya StarTimes inakubalika na nembo yake inajulikana na kila familia na kwa kila mtu!!!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau