Bukobawadau

YANGA 7-0 COMOROZINE CHECK TASWIRA UWANJA WA TAIFA LEO FEB 8,2014

 Mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa , haya ndio matoke ya mchezo wa Klabu bingwa barani Africa kati ya Yanga na Komorozine uliochezwa hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar salaam
Bao la nne la Yanga likiwekwa wavuni na mshambuliaji Hamis Kiiza
 Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa akifanya yake uwanjani huku mabeki wa timu ya Komorozine kutoka nchini Comoro wakimsindikiza
 Mrisho Ngassa katika harakati za kutafuta bao lake la tatu Uwanjani leo feb 8,2014
 GOoooOOhhhhh!!! ni bao la Sita lililipachikwa na mshambuliaji Mrisho Ngassa.
Kila mchezaji wa timu ya Comorozine akimlaumu mwenzake'Chezea kichapo'!
Mshambuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa timu ya Comorozine.
Ushangiliaji wa bao la Yanga lililofingwa na Mchezaji Nadir Haroub
Anaitwa Hroun Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga akifanya makeke ya kumtoka  Beki  Ali Mohamed wa timu ya Comorozini kutoka nchini Comoro.
 Wanaonekana Mashabiki wa timu ya Yanga Jukwaani
Mashabiki wa timu ya Yanga wakifuatilia Soka la watoto wa Jangwani

Next Post Previous Post
Bukobawadau