Bukobawadau

AMBULANCE YAPATA AJALI MJINI BUKOBA

Pichani linaonekana Gari la kubebea Wagonjwa 'Ambulance' likiwa limetumbukia kwenye mtaro,tukio hilo limetokea jioni ya leo Feb 10,2013 maeneo ya Uswahili Bilele.
Taarifa za hawali zinasema Ambulance hiyo ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji Bukoba iliyo nunuliwa na Mh. Mbunge Balozi Khamis Kagasheki,Imepata ajali wakati ikiwa inaendeshwa na kijana muosha magari ikiwa ni baada ya kuachiwa na Dereva wake wa siku zote anaye tajwa kwa jina la Salum Japan.
Next Post Previous Post
Bukobawadau