Bukobawadau

CAMERA YETU MTAANI LEO JUMANNE FEB 4,2014

 Hapa ni Kiroyera Beach Bukoba, Camera yetu inakutana na Wageni waliofika hapa  kwa ajili ya mapumzika.
 Ugeni huo ukiwa kamili , familia yenye watoto wanne  wapo hapa kufurahia utalii na mandhari ya kuvutia ya Wakisiasa Bukoba.
 Pongezi kubwa kwa Mdau Willy Kiroyera kwa jitihada zinazo onekana,Ni wakati wako sasa Mdau Msomaji kuwasilia na Kiroyera Tours kwa ajili ya  kutembelea na kufurahia utalii wa ndani na mandhari yenye kuvutia katika Mkoa wetu wa Kagera
 Fukweni Kiroyera, camera yetu inakutana na Wadau wakifurahia upepo wa Ziwa Victoria,ni Mdau Mbota maarufu kwa jina la 'mikito' na mwanadada Lilian Gabone
 Mama mlezi wa familia akiendelea na hekaheka na kufurahia utalii. 
 Mr & Mrs Badru Mangi Said wataalamu wa maswala ya Urembo , si lazima kukogaa maziwa ya punda ili aendeleee kuwa na ngozi nzuri ,Ukiwa wa Bukoba ulizia Mangi Said ni mtaalamu wa maswala ya urembo na upungufu wa gharama.

  Kijana Mkhusini, Mdau Mangi Said na Bi Sharifa,wataalamu wa mambo ya urembo na vipodozi
 Kijani mdogo mjini hapa mwenye umaarufu  kutokana na Vionjo na vituko vyake, pichani ni Mdau 'Soma Buye'
 Camera yetu ndani ya APPLE Barbar shop Rwamishenye leo Feb 4,2014
APPLE Barber Shop,hii ni Saloon Mpya na ya Kisasa kabisa iliyopo maeneo ya Rwamishenye Mjini hapa.
 Ni Saloon yenye Vinyozi wa Ukweli na Waliobobea katika fani ya Kushave

 Mdau Patrick Pombe akipata huduma ndani ya APPLE Barber Shop
Kwa Tabasamu hili ...!! basi bukobawadau tupo juu na Mwanadada Mwanahawa Mainda wa Kassim yupo vizuri.
 Mdau Mainda Kassimu mbele ya Camera yetu leo fEB 4,2014
Mzee Kayunga pichani kama alivyokutwa na Camera yetu akifurahia mazingira.
 Kijana Soma mbele ya Camera ya bukobawadau leo Feb 4,2014.
Mitaa ya uswahili mambo yapo hivi
Next Post Previous Post
Bukobawadau