Bukobawadau

CAMERA YETU MTAANI LEO JUMATANO FEB 26,2014

Jengo linaloendelea kwa ujenzi lililopo eneo la Kagabilo Kibeta mjini Bukoba
Masikani kwa Marehemu Tibaijuka aliyekuwa mme wa Mama Anna Tibaijuka
 Jengo la Utawala la  Shule ya wasichana ya Kajumulo iliyoko eneo Kagabilo mjini hapa
Ndg Eddy anayefenya  biashara ya kubeba abiria na mizigo kwa kutumia baiskeri maarufu kama ASSECDO

Huu ni mwaka wa 10 Ndg Eddy akiwa barabarani,hivi ndivyo alivyo amua kujiajiri.
 Mzee wa kazi akichukua kasi mtaani.
 Mdau Rahym Kabyemela katika pozi.
 Viwanja vya Bukoba Club jioni ya leo.
 Wadau wakichck na Camera yetu

 Mama Rahym pichana akiwa na  Mama mkwe wake ,Mama Goronga pichani kulia
Kijana Alanus pichani kulia akiwa amefika kumsalimia Bibi yake nyumbani kwake maeneo ya zamzam.
 Mambo ya Bibi na mjukuu wake.
Masikana kwa Mama Goronga.
 Mdada Mama Rugusha mbele ya Camera yetu hii leo feb 26,2014.
 Harakati za Mdau Mwinyi pichani.
Nje ya soko kuu mjini hapa.
Kijana Gsmart na Sadick top in town wakicheck na Camera yetu.
Kijana Hussein Hamis akiwa ofisi kwa rafiki yake Evody.
Kijana Evody akiwajibika ofisini kwake.
 Taswira uwanja wa ndege mjini Bukoba leo Jumatano Feb 26,2014.

Next Post Previous Post
Bukobawadau