Bukobawadau

JUU YA KITENDO CHA USTAADH JUMA NA MUSOMA KWA MSANII PNC

Kitendo cha Ustaaz Juma na Musoma kuweka Picha hii pamoja na Video yake kwenye Mitandao ya Kijamii ambayo Inayomuonyesha Msanii wa Kizazi Kipya aitwaye PNC a.k.a Shino akiwa Anamuomba Msamaha.... Kwako Binafsi Unakichukuliaje....? Na je Kulikuwa na haja ya kufanya hivi...?
Next Post Previous Post
Bukobawadau