Bukobawadau

YALIYOJILI KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MWANADADA ASIYECHUJA ASIMWE (NGEMELE) KATALAIYA

Usiku wa jana Jumatano feb 27,2014 ilikuwa Birthday Party ya mwanadada asiyechuja Bi Asimwe  Ngemela pichani maarufu kama Asimwe Katalaiya.
 Party hiyo ya Birthday ilikuwa full mambo ya pwani ,full maujanja kwani akina dada  wabishi wa mji huu wenye  swagar za kileo, Watalaam wa shangwe na mambo ya kula maraha  waliweza kufanya yao, nasi BUKOBAWADAU BLOG kwa umahiri tumeamua kukufikishia machache yaliyojili.
 Bi Asimwe akijiandaa kumlisha kipande cha Kuku , mpambe wake Bi Aneth
Bi Asimwe akimlisha Keki Bi Aneth Maarufu kama Aneth Ukerewe.
Muonekane wa Keki ya Birthday ya Bi Asimwe.
 Hakika ilikuwa bonge la keki
 Ni muda sasa bukobawadau hatujakutana na kiparty Simple kama hiki, kamekaa vizuri, kametulia na kamenoga, heshima kubwa kwako Mdau Asimwe na kamati nzima ya Maandalizi.
Mdogo mtu katika hali ya utulivu.
Mdau katika pozi pichani ni   Mr. Theo wa Sadath Boutique.
 Kushoto ni Mdau Rackson Kahabuka,Mzee Shavu dodo sijui nini siri ya mafanikio.
Kaka Mkuu na swahiba wake Mkurugenzi wa Linas Night Club Ndg Mtensa wakiwa kisimple zaidi huku wakifatilia kinachojiri ukumbini.
 Meza ya Wadau yupo Mayaula, Dada Jesca, na  Mwanaaisha, kazi  kweli ilikuwa kubwa,
Ni mtiti ukumbini ni burudani ni raha tu, kama anavyo onekana ndg Allan Mugisha na Jesca
Anaonekana Bi Liliaan, Binti mbichiambaye nyota yake inawaka kwa kasi mfano wa ndege za kivita za Marekani ,maelezo hayo nadiriki kuyatoa kwa uzowefu wangu wa kimazingira.

 Mambo yakiendelea ndani ya Linas Night Club kisima cha burudani,sehemu maalumu kwa watu sahihi .
 Ikafika wakati wa Mwanadada Asimwe kumpa zawadi mpambe wake, rafiki wake Aneth.
 Hapa tumeshuhudia nyekundu zikimwagika over Senene Nyamkazi
Ni mwendelezo wa matukio katika Birthday Party ya Mwanadada Asimwe ambaye hajawahi Kuchuja/Kushuka tangu amekuwepo.
 Taswira ukumbini
Icon ya Bukoba Queen Lizzy, Betty Nangai akimwambia Bi Chui na London kuwa Siri ya mafanikio ni vitu vutatu!
Chui na London anakataa na kujibu kuwa mafanikio ni kitu kimoja tu, ambacho ni ..... nicheck pravate 0784 505045.
 Mdau Alex pichani na Bi Jesca wakifurahia jambo.
Mwanadada Betty Nangahi maarufu kama Lizzy Betty Lweyendela na Mdau Jamal Jamco Kalumuna, kijana msafi na anayejua umuhimu wa shughuli za watu. Kwa ufupi huyu ni Mtata na mbishi wa siku nyingi sana.
 Mwana wa Kashai nae ndani.
 Mwendo wa Burudani ukumbini.
 Mjomba wa Binti Mzaliwa, kaka yetu, Mwalimu Mjuni Joseph Katalaiya ndiye aliyewakilisha familia kama mzazi.
Mzee wetu, Mh Sana Mujuni Joseph Kataraiya akitoa support katika kudansi.
 Burudani ya kucheza muziki ikiendelea
Mashost katika picha ya pamoja.
Kulia ni Mshereheshaji wa shughuli hii, Mc hafidh Abdulmariki maarufu kama mafedha hakika alikuwa sehemu ya mafanikio ya shughuli hii, kijana huyu akiendelea kweli Bukoba tutakuwa na lakujivua.
 Muonekano wa manywaa.
 Kutoka umri mmoja kwenda mwingine sio kitu cha polepole ni kumshukuru Mola na kuzidi kuomba.
Wadau ukumbini wakicheck na Camera yetu
.Mwanadada Aneth maarufu kama Aneth Ukerewe, mpambe wa Bi Asimwe kwa siku ya leo.
TIMU NZIMA YA BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUTAKIA HAPPY BIRTHDAY MDOGO WETU ASIMWE,TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU, MUNGU AKUONGEZEE UMRI NA AFYA NJEMA.Next Post Previous Post
Bukobawadau