Bukobawadau

MAZISHI YA MAREHEMU OMULANGIRA CYPIRIAN IJUMBA KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI FEB 22,2014 KIJIJINI NYANGOMA-KANYIGO

Picha ya Marehemu Omulangira Cypirian Ijumba, aliyefariki siku ya jumatano feb 19,2014. Shughuli ya mazishi itafanyika siku ya kesho jumamosi feb 22,2014 Nyumbani kwake kijijini  Nyangoma Kanyigo wilayani Missenyi.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Omulangira Cypirian Ijumba.
 Kaka mdogo wa Marehemu pichani kushoto Mlangira Lugaibula katika picha na Mzee Mugula.
Ndugu Divo akipokea pole, katikati ni Mdau Jumanne Bingwa rafiki mkubwa wa Ngugu Gozbart Ijumba hayupo pichani ambaye kaondokewa na Baba yake mzazi.
Ndugu  wa familia ya Marehemu Omulangira Cyprian Ijumba, kulia ni Mdau Mganyizi.
 Mwili wa Marehemu ukitolewa Mochwari baada ya kuihifadhiwa kwa siku mbili
 Mwili wa Marehemu Cypirian Ijumba ukitolewa mochwari ya Hospital ya Mkoa na kupakizwa katika Ambulance tayari kwa kupelekwa Nyumbani kwake kijijini Nyangoma Kanyigo ambapo kutafanyika shughuli ya maziko kwa siku ya kesho Jumamosi.
 Anaonekana Ndugu Deo Lugaibula pichani kushoto.
 Muonekano wa  Bango lililopo mochwari.
 Yupo Mdau Ryhim Kabyemela na Mdau Salum Mawingo Organizer.
 Mdau Divo Lugaibula na Mdau Majid Kichwabuta wakisubili mwili utoke mochwari
 Anaonekana Mdau Manus pichani kushoto.
 Mdau pichani rafiki mshirika wa familia ya marehemu Omulangira Cypirian Ijumba.
Mmoja kati ya watoto wa Marehemu Omulangira Cyprian Ijumbi.
 Mdau Alex na Ndugu Moses( Sebo)
 Kinacho endelea ni Utaratibu wa kuusafirisha mwili wa Marehemu Cypirian Ijumba kutoka katika Mochari ya Hospitali ya Mkoa, kuupeleka Kijijini kwake Nyangoma Kanyigo huko Missemyi
Ndg Organizer Salum Mawingo na Mzee Kelvin pichani kulia.
 Mwana dada pichani na Kijana Soma.
 Wadau marafiki wa familia katika hili na lile
 Muda mchache kabla ya safari ya kuelekea kijijini kuanza.
Taswira katika maegesho.
 Ndg Rahym Kabyemela na Ndg Mwinyi marafiki wa familia
Msafara kuelekea Kijijini Nyangoma Kanyigo ukiongozwa na Gari la Ndg Majid Kichwabuta
Ambulance ya Mh. Mbunge Balozi Kagasheki , ikiwa na mwili wa Marehemu Omulangira Cypirian Ijumba ikielekea Kijijini Nyangoma Kanyigo Wilayani Missenyi.
Katika msafara wa kuelekea Kijijini anafuatia Haji Kazinja.
Katika Usikani yupo Mdau Gulam Scander pembeni yupo Swahiba wake Divo Lugahibula.
Hivi ndivyo Bukobawadau tulivyo shiriki katika hatua ya mwanzo wa kuusafirisha mwili wa Marehemu Omulangira Cypirian Ijumba hadi kijiji kwake Nyangoma Kanyigo.
  Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa familia ya marehemu Omulangira Cypirian Ijumba.
 Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi. Amina.
Next Post Previous Post
Bukobawadau