Bukobawadau

SHUGHULI YA NDOA YA BWANA WILLBROAD WILLIAMU MTAFUNGWA NA BI YUSTINA RWECHUNGURA FEB 22,2014

Bwana Willbroad Mtafungwa  ambaye ni mkuu wa polisi wa wilaya ya Kinondoni na Bi Yustina Rwechungura katika picha ya kumbukumbu nje ya katina la KKKT lililopo Kyaka Wilayani Missenyi Mkoani Kagera baada ya kufunga ndoa yao takatifu  siku ya Jana Jumamosi feb 22,2014
 Katika pozi la siku nje ya Kanisa baada ya ndoa kufungwa.
 Bwana Willbroad Mtafungwa na Mkewe  Mkewe Yustina Rwechungura  wakipiga picha ya ukumbusho katika Daraja la mto Kagera katika Kijiji cha Kyaka mara baada ya kufunga ndoa takatifu.
 Wanaonekata wakiwa na nyuso za furaha maharusi wetu Bwana Willbroad Williamu Mtafungwa na Bi Yustina Rwechungura.
Maharusi wetu wakiwa katikaDaraja la Mto Kagera katika kijiji cha Kyaka lenye  historia ya kuvutia
Katikati ya Daraja la Kyaka ambalo ni kivutio cha utalii Wilayani Missenyi.
 Hili ndilo gari lililobeba Maharusi wetu
 Sasa msafara wa Maharusi unaelekea Kijijini Bwoki-Bugandika kwa ajili ya hafla fupi Nyumbani kwa bwana harusi Ndg Willbroad Mtafungwa.

Wasimamisi wa Harusi kwa upande wa Bi Harusi, Bi Yustina Rwechungura.
 Sehemu ya Waalikwa wa hafla ya mchana iliyo endelea  Kijijini Bwoki-Bugandika.
Sherehe ikiendelea.
 Meza ya wazazi wa Bwana Harusi
Maharusi ukumbini katika hafla kwa kushirikiana na wanakijiji.
 Muonekano wa Wanandoa hawa katika sherehe inayo endelea Nyumbani kwa Bwana harusi Kijijini Bwoki Bugandika
 Bwana Harusi akitoa utambuisho, Wa kwanza kabisa ni Mama yake mzazi
 Mama Christina aliyekaa ambaye ni Mzazi wa Bwana harusi akifuatiwa na Dada wakubwa wa Bwana Willbroad Mtafungwa.
 Waalikwa ukumbini wakifuatilia kile kinacho endelea
 Kaka mkubwa katika ukoo.
Ndugu wa familia wakati utambulisho unaendelea kutoka Bwana Harusi.
Ndugu wa familia ya Mtafungwa.
 Taswira ukumbini
 Bwana Harusi Bwn. Willbroad Mtafunga akiendelea kutowa Utambulisho.
 Bwana harusi akitambuwa uwepo wa Mmoja wa Walimu wake waliomfundisha tangu darasa la kwanza mpaka la saba.
 Pichani  ni mmoja wa walimu waliopata kumfundisha Bwana Willbroad Mtafungwa.
Muendelezo wa utambulisho kwa walimu wa shule ya Msingi iliyopo kijijini hapa  waliomfundisha Bwana Harusi wetu tangu darasa la kwanza mpaka la saba,na leo hii Ndg Willbroad Mtafungwa ni kamati anayetegemewa na kuaminiwa na Taifa letu la Tanzania.
 Bwana harusi akiendelea kutoa utambulisho wa uwepo wa marafiki zake waliofika  kumpa support kutoka Jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mdau Halanus Kashalaba na Mdau Muzo marafiki wa Bwana Willbroad Mtafungwa.
Baada ya tukio hili , tutakuletea sherehe iliyo endelea Usiku katika Ukumbi wa Linas Night Club Mjini Bukoba...

Bi Yustina Rwechungura Mke wa Bwana Willbroad Mtafungwa.
Bwana Willbroad Williamu Mtafungwa Mme wa Bi Yustina Rwechungura.
 Mc Double A kutoka Jijini Dar es Salaam akiendelea kuwajibika.
 Kushoto ni mmoja wa wanakati wa shughuli hii, akifuatiwa na Mshereheshaji mahiri kijijini hapa.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya akiwakirisha vyema kwa kutumia lugha ya kihaya
Mnenguaji wa msanii 'Kamdingi' akitoa bonge la show.
 Mwanadada Gift akifuatilia  burudani kutoka kwa msanii wa hapa hapa Mkoani.
 Mahudhurio ya watoto nje ya banda la harusi
 Mzee Method ambaye ndiye mshenga akitoa neno.
PICHA ZAIDI JUU YA MATUKIO YA BURUDANI NA ZAWADI TUTAENDELEA BAADA YA KUKAMILISHA MATUKIO YA SHUGHULI YA USIKU ILIYOFANYIKA NDANI YA UKUMBI WA LINAS CLUB.ENDELEA KUWA NASI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau