Bukobawadau

CAMERA YETU USIKU WA JANA MARCHI 11,2014

Anaingia Ndugu Optaty Henry Katibu,mahususi kabisa kusalimiana na Wadau waliopo eneo hili.
Anaonekana Mr Ben Mulokozi aka appatizer akiinuka kusalimiana na Mdau Optaty Henry.
Mdau Al Amin Abdul , Mdau Ben Kataruga na Kijana Denice Wase wakifuatilia namna  timu ya Arsenal ilinavyo wakatisha tama mashabiki wake mara baada ya kupoteza nafasi ya kuendelea katika Michuano ya UEFA baada ya kutoka sare ya 1-1 na  Buyern Munich .
Kijana Fuady Lugusha, akiteta jambo na Mkodomi Abdul Rahym Kabyemela
INAENDELEA SOON....
Next Post Previous Post
Bukobawadau