Bukobawadau

HAFLA YA MKOMBOZI COMMERCIAL BANK CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK NA CLIMAX

 Kampuni ya Mabibo Beer mabibo beer wines and spirits ltd kupitia kinywaji chake cha Windhkoek na Climax ndio wadhamini wa hafla ya Chakula cha jioni iliyo andaliwa na Mkombozi Commercial Bank Plc.katika kutoa ufafanuzi kwa wadau juu ya kufungua tawi lake Mkoani Kagera.
Katikati ni Askofu Msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki la Bukoba akisalimiana naWaziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka
  Mwakilishi na Mwanasheria Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd Tanzania
 Mhashamu Methodius Kilaini akimtambulisha  Mmoja wa wadau wa "Mkombozi Commercial Bank'"
 Askofu Msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki la Bukoba anakushauri wewe Mdau kutumia CLIMAX Kinywaji kinachosambazwa na kampuni ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd.CLIMAX Non Alcoholic Herbal Energy Drink. Kinywaji hiki hakina kilevi na chenye kuongeza nguvu ambacho hutengenezwa kutokana na mimea asili
 Mama Anna Tibaijuka mara baada ya kutoa rai juu ya fursa zitakazo patikana baada ya ufunguzi wa Benki mpya Mkoani Kagera, Mkombozi Commercial Bank Pls ,pia kagusia ubora wa CLIMAX Kinywaji kinachosambazwa na kampuni ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd.CLIMAX Non Alcoholic Herbal Energy Drink. Kinywaji hiki hakina kilevi na chenye kuongeza nguvu ambacho hutengenezwa kutokana na mimea asili.
 Mama Anna Tibaijuka akimpongeza Ndg Rahym Kabyemela ambaye ni Balozi wa kinywaji cha Climax Mjini hapa kufuatia kazi nzuri inayo onekanana.
 Bi Jeannifer Murungi Badru Kichwabuta, Diwani viti maalumu CCM akifurahia Climax.
 Wadau wakiendelea kusikiliza kile kinacho endelea.
Padre Mroso akiomba ufafanuzi juu ya jambo kuhusu Bank ya Mkombozi Commercial Bank inayotalajiwa kufungungulia Mkoani Kagera.
Mheshimiwa mgeni rasmi, Bi. Edwina Lupembe, Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank"akitolea jambo ufafanuzi.
 Wadau wakisikiliza kwa umakini majibu kutoka kwa Bi. Edwina Lupembe, Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank"
 Ikafuatia swali kutoka kwa Mkutugenzi wa KADETF Mh. Mchuruza.
 Mdau akihoji juu ya kiwango cha liba
Diwani Bigambo akiuliza swali na kutoa pongezi kwa uongozi wa
“Mkombozi Commercial Bank"

Bi Jeannifer Kichwabuta yeye ameonysha kufurahia kitendo cha kuchwaguliwa Mwanamama Bi. Edwina Lupembe kama Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank"
Mshereheshaji wa hafla hii Ndg Andrew Kagya akiwajibika 
 Hafla hii imedhaminiwa na Kampuni ya Mabibo Beer mabibo beer wines and spirits ltd kupitia kinywaji chake cha Windhkoek na Climax
 Burudani kutoka Kapotive Star Singers Bukoba.
 Waimbaji wa kikundi cha Kapotive Star Singers- Bukoba wakitoa burudani
 Kikundi hiki kwa sasa kinadhaminiwa na Kampuni ya Mabibo Beer mabibo beer wines and spirits ltd kupitia kinywaji chake cha Windhkoek na Climax
 Mhashamu Methodius Kilaini akipata huduma ya chakula.
Mkurugenzi wa Perfect General Supplies  Ndg Pajero akipata huduma ya chakula.
 Sehemu ya Wageni waalikwa katika hafla anaonekana  Mkurugenzi wa Karama Shop Ndg Thaimuli akipata huduma ya Chakula.
 Huduma ya chakula ikiendelea.
 Meza ya Mh. Bigambo, Diwani kata ya Bakoba CUF.
 Mr Bube ambaye ni Mkurugenzi wa Shele ya LeoLeo pichani kushoto na Ndg Mtensa Mkurugenzi wa Linas Company LTD &Linas Night Club.
 Meza ya Mzee Mchuruza na Mdau Willy pichani kulia wakipata chakula.
 Mdau Edirick Mulima akiteta jambo na Baba Askofu Kilaini.
Mr Bube akibadilishana mawazo na Mr Mtensa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau