Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MARCHI,2014

Jioni ya Jana Camera yetu ikicheck na Wadau Viunga mbalimbali vya Mji wa Bukoba.
 Kaunta ya Juu nje ya Jengo la Bukoba Club
Mdau Ben Kataruga  akitweet kupitia account yake ya Twitter ijulikanayo kama @BenExpeditions
 Katikati ya Viwanja hivi yupo pia Kijana Bushira na Ndg Sadick Kaizilege.
'Ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli 'hiyo ndio tweet  ya leo kutoka kwa Mdau Ben Kataruga pichani kulia akiwa na rafiki yake Kijana mpambanaji  Ndg Rahym Kabyemela  pichani kushoto.
 Viwanja vya Gymkhana Bukoba Club
 Bi Rehema Ramadhani na Mwanadada Vanessa mbele ya Camera yetu
 Tukiangaza katika fukwe za Space Beach Motel kiza kikiwa kimetanda.
 Moja ya meza ya Wadau wakiwa fukweni “beach”kumalizia siku yao.
 Buzios,State of Rio de Janeiro,Jericoacoara, State of Ceara na Ubatuba, State of Sao Paulo hayo ni majina ya Beach zenye sifa  kubwa na umaarufu huko Brazil .Pichani ni Muonekano wa Beach iliyopo  mjini Bukoba yenye  kigezo kikubwa cha kuwa karibu na mji kama sio mjini kabisa.
Kijana Denise Wase akifurahia upepo mwanana wa Ziwa Victoria.
Mabinti wakifurahia maisha kwa 'kupiga simu' bila mikwaruzo
 Unaweza ukapagawa na Changanikeni katika fukwe za Space Beach Motel Bukoba.
 Kama Yohova anavyo sema katika  Biblia akimtaka mtu na familia yake kuonyesha  furaha  na kuyakabili majukumu, Neno hilo linaonekana kupokelewa  vyema na Mr & Mrs Divo Lugaibula pichani.
Wanaonekana wenye nyuso zenye furaha kwa pamoja  ni watu wenye nasaba za kifamilia. 
 Mdau Abdallah kama alivyokutwa na Camera yetu, hapa ni Prince IPP Motel Bukoba.
 Hakika uhungwana ni matendo.
Wadau wengine wakifuatilia soka  hapa Prince IPP Motel.
Ndugu Ben Kataruga na Mdau Divo maarufu kwa jina la Serikali wakiteta jambo.
Mdau William Rutta akitoa neno kidogo.
Katika picha ya pamoja kulia ni DkVerusi Mboneko Kataruga
Anaonekana Mama Prince akipata mulo na rafiki yak
Dk Vinus Kataruga akitoa ishara ya ku-appreciate uwepo Mdau Mpambanaji Rahym
Kabyemela.


Next Post Previous Post
Bukobawadau