Bukobawadau

YALIYOJILI USIKU WA JANA SHOW YA MSANII DR.JOSE CHAMELEONE-TUBONGE EAST AFRICAN CONCERT

LICHA ya mvua iliyonyesha usiku wa jana haikuweza kuzuia umati wa watu kuhudhuria onyesho hili lililopewa jina la TUBONGE LIVE East African Concert lililoandaliwa na msanii Jose Chameleone.
Kama ilivyo kawaida Msanii Jose Chameleone alipata fulsa ya kuwashukuru mashabiki wake kwa uvumilivu mkubwa kutokana na mvua kubwa iliyo ingilia Onyesho hili.Mwisho akasema mvua ndiyo Baraka zenyewe kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 Hiki ndicho alimaanisha Msanii Jose Chameleone  kuwa uwenda viwanja hivi vya LUGOGO Cricket Oval vitadidimia ktokana na nyomi ya watu.
Mashabiki wakinyeshewa wakati show ikiendelea.
 Taswira mapema ya jana Mjini Kampala, Onyesho hili  la TUBONGE East African Concert linaendelea Usiku wa leo Jumamosi marchi 29,2014 ndani ya Colline Hotel  Jijini Kampala leo na Kesho Jumapilishangwe zitakuwa katika fukwe za Resort Beach.
 Whoever thought that only UB40,BUSY SIGNAL or KONSHENS make itbig at big venues should haveanother thought bse even our veryown can, yess,our very own,and DR. JOSE CHAMELEONE'S #TUBONGELIVE was history in themaking because non of the so calledinternationals would make it thatbig even with the rains.Congs Dr, team chameleone, Airtel,Pepsi, Bukedde and every one forbeing apart of Historymaking. # TUBONGELIVE2014LUOGO
Next Post Previous Post
Bukobawadau